Wafanyakazi
Constansia Mbogoma
Mkurugenzi
Constansia Mbogoma ni Mkurugenzi wa Capacitar Tanzania. Alijiunga na Capacitar mwaka 2002 na kuwa Mkurugenzi mwaka 2005. Ana Diploma ya Ualimu kutoka Chuo cha Ualimu Chang’ombe Da es Salaam. Amefundisha katika shule za serikali na shule binafsi tangu mwaka 1971. Mbali na kuwa Mkurugenzi wa Capacitar Tanzania, ni mzee wa Baraza la Ardhi na Nyumba Mwanza, pia ni mjumbe wa Bodi ya Parole Mkoa wa Mwanza. Yeye anasema “Mafunzo na mazoezi ya Capacitar yana nguvu sana katika uponaji wa mtu binafsi na jamii. Maisha ya watu yaliyojaa athari za majanga, wasiwasi na woga, yanabadilishwa na kumrudisha mtu kwenye asili yake ya afya, amani na utulivu na kumwezesha kwishi maisha yaliyo boa zaidi yenye mmoja na mshikanano.”

Mary Mujemula
Mfanyakazi
Mary Mujemula amejiunga na Capacitar Tanzania mwaka 2005 akiwa na uzoefu wa kufundisha shule za msingi mbalimbali mkoani Mwanza kwa miaka 37. Alipata Cheti cha Ualimu kutoka Chuo cha Ualimu Morogoro. Pamoja na kufanya kazi zingine za shirika, Mary analenga zaidi kufundisha Capacitar kwa vikundi vya watoto. Mary anasema “Napenda Capacitar kwa sababu nimekutana na watu wengi na kujifunza mambo mengi. Capacitar imenifanya kuwa na afya njema.”

Helena Kiyao
Mfanyakazi
Helena Kiyao amejiunga na Capacitar Tanzania mwaka 2012. Anafanya kazi zaidi na akina mama na watoto yatima wa shirika la Chanua, lakini pia husaidia katika maeneo mengine kadiri anavyohitajika. Ana Cheti kutoka Chuo cha Elimu ya Kindergarden Montessori Kawekamo Mwanza. Helena anafurahia kufanya kazi na Capacitar Tanzania, anasema “Shirika linafanya kazi ya Mungu.”

Jocelyn Juma
Wafanyakazi
Wasifu itakuja hivi karibuni.
Wafanyakazi
Wasifu itakuja hivi karibuni.
Sr. Genie Natividad
Mfanyakazi wa Kujitolea
Sr. Genie ni Sista wa Shirika la Maryknoll. Amejiunga Capacitar Tanzania Januari 2013 baada ya kufanya kazi Morogoo. Amejifunza Saikolojia na amefanya kazi kama Mmisionari huko Turkana, Kenya akiwa na Jumwiya ya Mtume Paulo. Alijiunga na Maryknoll mwaka 2007 na alikuja Tanzania mwaka 2010. Sr. Genie anasema “Napenda kuchangia katika utume wa uponaji wa ukamilifu kwa wanawake na watoto na pia kutajirishwa kwa kujifunza kutoka kwa watu wengine.”

Christopher Reid
Mfanyakazi wa Kujitolea
Christopher Reid ni Mmisionri mlei wa Maryknoll kutoka Marekani. Alipata Digrii ya mwaka 2009 na amejiunga na Capacitar Tanzania mwaka 2012. Chris anafanya kazi na vikundi vya usharika vinavyosaidiwa na Capacitar Tanzania pamoja na kusaidia kzai zingine za shirika. Anasema “Ninafurahi kufanya kazi na Capacitar na kupata nafasi ya kuimarisha vikundi, kuwawezesha watu hasa akina mama ili waweze kuboresha maisha yao kwa namna ambavyo Capacitar inalenga kufanya.”