Kusaidia Vikundi vya Ushirika
Kuboresha maisha ya mtu binafsi ni lengo la msingi la
Capacitar Tanzania. Kuboresha uwezo wa watu kuweza kujisaidia kiuchumi na
kijamii inaweza kuleta usitawi wa jamii kwenya familia uzima.
Capacitar Tanzania husaidia vikundi mbalimbali katika kanda ya ziwa na baadhi ya mikoa mingine ikilenga zaidi vikundi vya akina mama na watoto. Mbali na hutoa ushauri na mwongozo wa kuboresha uendeshaji, ipango na utekelezaji wa miradi ya vikundi. Kwa kutoa semina, mafunzo na mali ghafi kutoka eneo husika, Capacitar Tanzania inaweza kusaidia vikundi kuelekea ufanisi na kujitegemea.
Kwa sasa Capacitar Tanzania inafanya kazi na vikundi vifuatavyo:

- Akina Mama Ushirika Buswelu
- Akina Mama Upendo
- Kikundi Cha Mama Wa Shauri Jema Parokia Ya Malya
- Chanua
- Kikundi cha Nyashana
- Kikundi cha Balewa
- Malya Nyuki na Asali
- Tumaini Jipya